Sometimes the Nerd/Zoba Gets The Girl

Tunaendlea mdogo mdogo
 
Kwa Hiyo Sillas ndio Zoba? Ningekuwa Mimi ningepigana aiseee na ukizingatia nina vinasaba vya fujo
 
Kwa Hiyo Sillas ndio Zoba? Ningekuwa Mimi ningepigana aiseee na ukizingatia nina vinasaba vya fujo
Hahahaaa! Sasa upigane nini? SILAHA PESA TU BUNDUKI MZIGO!
 
Ngoja nikamsafishe miguu muhindi najua hadi nirudi utakuwa umemalizia hadithi yako
Mambo yamekamiika huku, fanya uingie kwa makini kabla hujaunguza kachori na hio chatney! Ukufukuzwa kazi buree! Hahaahaaaaaa!
 
Hivi Nishawahi kukutumia MWALIKO MAALUMU uje usome thread yangu hata moja? Thubutuuuuuuuuuu yako! Tuondolee nzi humu! Nitaleta navotaka hata nikiamua ki hip hop, huwezi kunipangia maisha yako! TOKAAAAAAA!

Ahhahahahha....atakua amevurugwa...msamehe bureee bila elaa..
 
hahhaahahahha hahahahhahah wahaya kumbe wavumilivu hahahahaha

lara 1

mimi nawaogopaga sana sababu wanapenda maisha ya juuu sana kama hamjayapata na ndo mchuchu au mmeoo yaani UONGO UTATAWALA

leo atakupromise xtrail kesho prado wakati kodi tu msukosuko

i love the story namvika uhusika member mmoja humu ndani haswa character silasi
 
Last edited by a moderator:
Big up lara1 unajua kuandika story vizuri, hard disc yako iko poa sana. The issue is nahisi namjua Dori, pamoja na kwamba umebadilisha baadhi ya mambo lakini kwa mtiririko huo nimegundua ndo mwenyewe.
Jina lake halisi linaanzia na D.....
 
Tobaaaaaaaaaaaaaa! NDO MWENYEWEEEE,! Mdau weee noma! Chonde chonde iminyie hii ishu nisi sutwe na mdundiko!
 
hao jamaa ni kwere ati kwa mbwembwe ni nouma aje....umeshawahi kuona nyumba binafsi eti za mfano zinazinduliwa na wakimbiza mwenge..?
 
Juu kama KLM...Team Amsterdam Schiphol Airport..yeyoooo...kati ya vyote...nimependa hii...Dori is now just the other girl next door...who got dumped...!!
 
Your style is quite original.......

.......................Prof alitokwa povu la aerial maana la omo dogo!...................................

Wauza maua wa namanga walimpendaje Sillas!...................

bidhaa baada ya muda thamani/bei yake hupungua, mwaka 2004 kununua simu ya double screen ilikuwa 250k-400k lakini sasa hivi hata kwa 20k unapata. Daktari bingwa is past her sell by date, yeyote angeweza kubeba.
 
Weee mtoto ni mh.uni, wakuache tu. Umenichekesha, ukija kusutwa niite pia.
 
Your style is quite original.......

bidhaa baada ya muda thamani/bei yake hupungua, mwaka 2004 kununua simu ya double screen ilikuwa 250k-400k lakini sasa hivi hata kwa 20k unapata. Daktari bingwa is past her sell by date, yeyote angeweza kubeba.
Hahahaaaa! I wouldnt be so sure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…