Dfw_1k
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,518
- 3,028
Kwanini jamii ya Leo imekuwa na tabia ya kumhukumu mtu kiurahisi ?
Kwanini hampendi kusikiliza upande wa mtu wa pili bila kumhukumu🥺??
Kwanini mnashindwa kutambua kuwa kuna mambo mtu anayafanya sababu anapaswa kufanya sababu it's the only option left🙏to survive
Kwanini mnapenda downfall ya mtu🥲mtu akididimia ndo furaha kwenu
Kwanini mtu akifanya maovu mnachukulia advantage ya kumtagaza na kumpondea kwa watu aonekane mbaya💔💔kila kona
Mbona kwenye hii jamiii ukiachana na mtu anaenda kuwatangazia watu madhaifu Yako can't we just break up in peace
Kwanini mnapenda bodyshaming ( kumtukana mtu namna alivyoumbwa)mnachukulia huo udhaifu kama advantage mbn wembamba mnatukana 🥺it's not what we chose to be but it's what God wanted us to be
I know in life we make mistakes everyday.... Kuna makosa ya aibu tunafanya but when we change baada ya kutambua kosa jamii inatukumbusha
Why??????
Where do you want us to prove that we are not like the way we used to be ....tunapiga Goti kumuomba Mungu atusamehe ila Bado jamiii itahukumu .....
😔😔😔😔 Sometimes life is meaningless tunaishi tu siku ziende