...hebu tuwekee na ahadi ya waziri Muhongo kuwa umeme hautopanda bei tena kwa sababu tuna gas asilia.
Huyu anayetumia <75unit ana uhakika wa kuchaji simu zake 3 na anahatarisha mazingira kwa kuendelea kukata miti kusaka nishati ya kupikia.
TUWENI WAKWELI HIVI KUNAUBAYA GANI WAKUWAONGEZEA GHARAMA YA UMEME WATU KAMA MIGODI YA BUZWAGI AMBAO TAA ZINAWAKA NAKUTUMIA UMEME MKUBWA ILI ANGALU TUJIWEKE SAWA KUKABLIANA NA UKAME.FAIDA YA BUZWAKI KWENYE DHAHABU HAIPO KWANI SEHEMU KUBWA MIKATABAY 3% TULIOINGIA NDO ILIISHATOKA.HIVYO ANGALAU KUWACHARGE KATIKA SERVICE KAMA HIZI ZA UMEME IATKUWA BORA. REPORT INAONYESHA HAKUNA NYONGEZA KATIKA MATUMIZI YA NYUMBANI.SASA UBAYA NI UPI?AU TUKAE HARAFU BAADAYE TUANZE KUINGIA MIKATABA YA IPPS BAADA YA UKAME KUTUPIGA.KUPINGA KILAKITU HATA KAMA KINALOGIC NI UPPUZI. WANASIASA NAO WAWE WANATUMIA UBONGO KUFIKILIA NA SIYO KULIPUKA
Kwa mpango huu siku ccm wakikubali usenge Na ushoga Na nyinyi ccm vijana mtashangilia.Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Yaani kutumia umeme mwingi ni dhambi? Nilidhani anayetumia umeme mwingi ndiye apunguziwe maana anachangia sana tofauti na yule anayetumia umeme kidogo ambaye mayumizi yake ni limited sana.Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
teh...teh.."chini au zaidi" huyu fala katokea sayari gani?Pumbavu ni Pumbavu tu!!! Chini au zaidi ya 75 units unamanisha nini? Unasema watu wawe na tabia ya kusoma wakati wewe unasoma kama kasuku! Nani kakwambia wananchi wanaathirika na units za majumbani tu? Kiwanda kikipandishiwa umeme nacho kinapandisha bei ya bidhaa kinayozalisha kutokana na gharama za uzalishaji kuongezeka! Bora ambaye hakusoma kuliko wewe uliesoma halafu hata hukuelewa!!!
Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Ukweli unauma...ni wapi huko bei ya umeme imepandishwa halafu wananchi wakashangilia?
..mliwaahidi wananchi maisha kama ya Walibya wakati wa Gaddafi.
..tena mkahimiza wananchi tufyatue bila mpango.
..sasa you have to deliver on your campaign promises.
Acha Ulofa. Tanesco. Walitangaza kwamba Gesi ya Mtwara ikifika Dar es Salaam bei ya Umeme itapungua sana! Tulitegemea Tanesco wapunguze bei ya Umeme siyo kuongeza!!Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf