Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf