Some Vanilla-Chocolate popsicle...

Hahahahahahhaaa akiwa na mwiko unaosonga ugali ipasavyo, petty cash ya kutosha, mahaba mia mia kama anayoyataka Kasie..... Huo mguu wa kushoto utaubusu busu kila siku Ila baada ya kumuosha miguu.

Halafu hizi picha watu hawaangaliagi nyuma ya taswira waliyoidhamiria kuna nini. Kuna fremu za picha hapo akitokea mjanja anaongeza mwanga hadi anatambua hiyo nyumba wenyewe ni kuna nani.

Kasie Mahaba Matata.
 
Huo mguu mwingine unaonekana umekulia kwenye shida sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…