Kula mbakishie baba nilikuwa nauogopa.. nilikuwa mpenzi mtazamajiNani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa[emoji23][emoji23]
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa[emoji23][emoji23] fatuma i miss you[emoji7]
Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia[emoji23][emoji23]
Yanga baba lenuUkiwa na hii pen unajiona Don..afu unakuta mrija wa kijani ndio unaandika tena kwa kugoma gomaView attachment 1409386
Sent using Jamii Forums mobile app
we ulikua pumbavu thaanamimi nilikua na tabia ya kutemea watu maji niliyoweka mdomoni [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi tu kupata ngeu ya mchezo wa bon'goaThanks you very much
ila we utundu wote huo hujaai ata kuchubuka[emoji13][emoji1]
Walikutengua nyonga eeh.?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi tu kupata ngeu ya mchezo wa bon'goa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mwehu kweliNyie wazazi mnazingua bana sometimes kuna mtu alikua anatuchapa tukiimba "wapii Dar mpaka Moro"
Eti nimatusi kumbee..
Au ukifanya ulimi ukalia fyokofyokofyoko mdomoni wanatuchapa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mkuu Da'Vinci. Kama vile umekulia maeneo yangu yaaani umepita mulemule kilichokuwa kina hapeni mtaani. Asante kwa kunirudisha enzi hizoooKarata ya maganda ya viberiti..tumecheza sana. Mtaani kupata ganda la kiberiti ikawa nadraView attachment 1409393
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] Ulipinga na Mwanaume nini ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi tu kupata ngeu ya mchezo wa bon'goa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji12][emoji12][emoji12]Mdudu fukufuku nimemuweka Sana kwenye tuchuchu zangu enzi hizo ili matiti yakuwe makubwa..[emoji3][emoji3] tulikuwa twaona wakubwa wanafauuuduuu[emoji57][emoji57] Natamani apatikane mdudu wa kupunguzaView attachment 1409389
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mama ..majumba mabovu yalikoma enzi hizo..[emoji3][emoji3][emoji3]...nilikuwa nachaguliwa kuwa Bibi harusi kisa tu nilikuwa na gauni spesheli...nimefaudu Sana wali harage vya utoto [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ile ya kuchukua petrol na kokota unafungia kwenye chupa.Usisahau baruti haswa mwaka mpya..
Mi ndo nilikuwa muhisani baadhi ya vifaa nilikuwa nawauzia plug na msumari wake ila siku ya kwanza kuipiga baruti ya plug nilikimbia akili ilibaha[emoji23][emoji23]