OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Sio kwamba naongea always...wakati mwengine nalala thru all night sisemi kitu..Nimechunguza hilo kupitia ile app nilokutajia..Nadhani stress zikinizidi ndo nacharukwa..Nilishare room na shogaangu akaniambia once ulikuwa unaongea lakini hutamki maneno vizuri kwahio sisikii unasema nini...
Hahaha sasa kuongea kunahusiana vipi na malavidavi? π labda nitaongea kimahaba lol....Better placed kumbe
Wewe ungekuwa mke wangu nikisafiri siku ya kurudi ni kukujaza stress mwanzo mwisho ili usiku unibwagie ma how deep is your love!!!
Hahaha sasa kuongea kunahusiana vipi na malavidavi? π labda nitaongea kimahaba lol....
Hahah, mkuu huwezi kufanya kazi usalama wa taifa, utatoa siri zote za nchi usiku.
The good thing is that i never do that!!πππππUngecharukwa usingizin kwa stress nilikujaza mchana na kumtaja X wakati mimi Y
The good thing is that i never do that!!πππππ
hahaha usipende kulala na kitu chupi asee....kuna popobawa dadaIvo vitanda kweli vizuri na viko sehem tulivu, watu wengi watapenda walalie. Lkn believe me kama umezoea tanda la ovyo ovyo, na sehemu yenye zogo, ukiekwa sehem kama hio itakuchkua hata mda wa wiki nzima ndo upate huo usingizi mnono. Mimi nakumbuka zamani age kama 20 ivi, nlienda kwa mkubwa flan alikua best wa uncle wangu, ambae anaishi UK, basi chumba nlokaribishwa kulala ilikua full ac. Sikulala mpk asubuhi, baridi hata bedcovers nlikua naona hazisaidii. Nshaizoea kwetu joto, na likizid waweza lala hata na chupi
hahaha usipende kulala na kitu chupi asee....kuna popobawa dada
Hahahaha
Hapo lazma ulale usingizi mnonooooooooo