Somalis passport is more powerful than Tanzania's pass....

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,379
Reaction score
5,887
10th most least powerfull passport,,,Afadhali Tanzania tunachakujivunia,,,





 
Ni sahihi. Somalia wako vitani kwa muda mrefu hivo kusafiri kama wakimbizi naona ni kawaida tu.

Kwani kigezo ni vita mkuu.....mbona Libya,syria...hizo nchi hazimo kwenye hiyo orodha
 
10th most powerfull passport,,,Paspoti ya Tanzania imeshindwa na pasport ya kisomali kwa uwezo wa kusafiri nchi nyingi,,,,

[/FONT][/COLOR]

[/URL]

Naona tatizo la lugha na kuchanganya madesa..,

list inasema top 10 of least powerful passports thats why hata idadi ya nchi ina descend as number,


Nijuavyo kwa passport ya Tz unaweza safiri nchi zidi ya 64 bila visa duniani, na ukiangalia nchi nyingi kwenye hiyo list ni kuna terrorist wa kutosha



kaka soma upya na upitie upya the whole list, na tafuta dictionary uelewe maana ya neno least..
 
Jamaa kilaza kweli wewe! Na una mindset ya kujishusha na kujiona hauna thaman,
Arcle inaongelea the least powerfull passport . hata kichwa tu cha habari kimekutoa out. it is the least powerfull passport not the top powerfull heee. So ulitaka tuwe namba moja kwa Vilaza???
 

kweli nimekubali makosa wasahili wamesema "Haraka haraka haina baraka"
 
Kiukweli nashindwa hata nikueleze nn, ila jaribu kutulia ndugu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…