Soma hiki kituko Fereji Kibwana

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,197
Mwalimu anauliza wanafunzi nini wanafanya baada ya school?
Mwanafunzi wa kwanza akajibu naenda kwa Fereji Kibwana kununua bangi🌿.

Wapili akajibu naenda kwa Fereji Kibwana kununua vidonge vya kulevya.

Watatu akajibu naenda kwa Fereji Kibwana kununua beer.

Wanne akajibu mie huwa napumzika, nasoma quran,navuta uradi na natafuta riziki.

Mwalimu:mashalah kijana mzuri na hodari sana.
Na jina lako ni nani? FEREJI KIBWANA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…