1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,361
- 12,742
Anakabia keyboad 🤣Unafanya naye kazi halafu unatumia simu kumtongoza?Unamuogopa?Hujui Unampa uwanja mpana wa kukujibu anavyotaka?Mbane uso kwa macho kijana.Unafeli wapi?
Anakabia keyboad 🤣Unafanya naye kazi halafu unatumia simu kumtongoza?Unamuogopa?Hujui Unampa uwanja mpana wa kukujibu anavyotaka?Mbane uso kwa macho kijana.Unafeli wapi?
Anapoteza points kizembe sana.Anatakiwa kumtongoza mwanamke uso kwa macho ili amlainishe kwa maneno tata.Hajajibu hili,anamtwanga swali lingine hadi ang'ate nyasi na kusugua visigino kama anacheza ngoma za kitamaduni.Anakabia keyboad 🤣
Hili ni tatizo siyo kuandika tu mkuu hata kuongea pia ni tatizoHivi umuhimu wa kujifunza 'Muandiko' na 'Kiswahili' kwenye shule zetu za msingi huwa ni nini kama 'Product' tunazokuja kutoa ndiyo hizi, watu hawawezi kuandika hata lugha yao ya Taifa kweli..??
Ulifanikiwa kupata chuo?Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.
Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi
Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.
View attachment 2780004
View attachment 2780005
Hapo hakuna mapenzi bali kuna biashara ya ngono inataka kufanyika.Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.
Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi
Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.
View attachment 2780004
View attachment 2780005
Jamaa linajichatisha lenyewe alafu linatwambie eti linachat na demuUnatumia WhatsApp gani mazee?. Kwasababu Sioni yeye akijibu hapo na sioni zile tiki mbili hapo kwamba ujumbe umepokelewa.
Legend ktk uboraAnapoteza points kizembe sana.Anatakiwa kumtongoza mwanamke uso kwa macho ili amlainishe kwa maneno tata.Hajajibu hili,anamtwanga swali lingine hadi ang'ate nyasi na kusugua visigino kama anacheza ngoma za kitamaduni.
Ni mwanafunzi? 🤔Ulifanikiwa kupata chuo?
Nazeeka kwa shingo upande sana maana bado nipo kwenye ubora wa hali ya juu mnoo!Legend ktk ubora
YES TAFUTA HELA YE ATAKUJA MWENYEWE BILA HATA YAKULIVE CHAT NAE…yan we hata kama haumpi we kuwa nazo tu masta….ukiwa na hela hata ye hutamtaka utapata demu mwingine mkali kuliko yeye…nikiwaga sina hela huwa hata kupanua domo langu kuwasemesha wanawake siwez naongopaga sana….Nitafute hela
Bado mwanafunzi kumbe ? Daah hawa madogo janja kizazi cha nyoka duuuhNi mwanafunzi? 🤔
Mkwe mtarajiwa huyo.Halafu tunamfundisha hadi kuomba "uhouse"!JF haina baya na mtu.Bado mwanafunzi kumbe ? Daah hawa madogo janja kizazi cha nyoka duuuh
Nimecheka kwa sauti jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Sisi walimu tumeamua tuwaletee vitu kama hivi.. kwenu walimwengu tusaidiane
Mwandiko unaonyesha hivyo kwamba hata chuo hajafikaNi mwanafunzi? 🤔
Nlitaka niulize na mimi😌😌Unatumia WhatsApp gani mazee?. Kwasababu Sioni yeye akijibu hapo na sioni zile tiki mbili hapo kwamba ujumbe umepokelewa.
Ujaelewa mzee soma mada tena yaani hio ni watu wawili ila sms zinakaa upande mmoja ni live chart soma tena mzee utajua sms za mwanaume na za mwanamkemwanaume unamwambia mwanamke nyooo??? sasa hata kama ingekuwa wew ndo mwanamke ungekubali kuwa na mwanaume wa ovyoo hivii
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.