Soma hapa tafadhali

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
kuna mambo mengi sana yanatokea huko vijijini na vyombo vya habari hawaviripoti hata waandishi wa habari hawaripoti mambo haya

NB:hii post nimeiquote hapa hapa jamvini . dk. Slaa alikuwa anajibu swali la mtu . tujadili yaliyomo
 
Hii kweli naiunga mkono kwa utaratibu ulioko ni lazima watanzania watambue kwamba vita hii ni yetu sote na aina aja yakuchoshwa na neno ufisadi. kwakweli umesema maneno ya busara kwani umaskini tulio nao 75% uko vijijini na ukiukwaji wa haki za binadamu umekidhiri sana vijijini. kwa ilo tunabidi tuangalie kwa undani jinsi ya kuwafumbua macho watanzania wenzetu waliopo vijijini pamoja na kwaelimisha ili tuweze kukomboa nchi yetu 2015. shime kwa kila mwanaharakati kuchangia mada hii siyo kiushabiki bali kimawazo tena yakina ili tuweze kuangalia jinsi ya kufanya. Mungu ibariki Tabnzania
 
Nashukuru kwa taarifa. Endelea kutujuza. Mapambano mpaka kieleweke!!! Usijari wanaovuruga motion yetu maana wametumwa na CCM baada ya Consultant wao kuwadanganya kuwa Jamiii forum ni tishio kwao. Wamepandikiza magugu humu lakini wenye akili tunayajua magugu na mpunga!!!
 
Wale nyoka-magamba ndio huwa wana sema hakuna jipya lakini wananchi wengi wa vijijini watakuwa wanapata taarifa mpya tena wakiwaona live majukwaani. Hongereni.
 
Reactions: Ame
Thanks kwa taarifa mkuu! Binafsi nakerwa sana na ubabe wa Kapuya na mwanae Baraka anayejiita "full boss". Mimi ni mkazi wa Kaliua na nimeushuhudia ubabe ma kinyama unaofanywa na watu hawa waliojimilikisha Kaliua as if ni ya baba yao.

Nakumbuka kipindi cha kampeni watu waliouliza maswali ya kumbana Kapuya kwenye mikutano yake walipata kipigo on the sport kutoka kwa mabaunsa walioongozwa na so called Baraka kapuya.

NOTE KW CDM: Kiukweli watu wa Kaliua tumechoshwa na hii hali na tulifikiri CUF wak
uwa wakombozi wetu; but due to on going situation between CCM and CUF tumepoteza matumaini. So ujio wa CDM Kaliua umefufua matumaini ya wengi. Tunawaomba mjipenyeze zaidi hasa maeneo ya Kamsekwa, Igagala hadi Usinge ili kujiimarisha zaidi before election ili finally ukombozi wa kweli upatikane.

THANKS GOD KWA KUILETA CDM KALIUA, THANKS GOD FOR Dr SLAA (Phd) AND HIS TEAM!!!
 
...duuh, Kaliua kumbe kuna Mungu mtu (Baraka Kapuya)????
 
Mimi nilikuwa Tabora pia last wiki ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Tabora kwa ujumla, nilienda Sikonge, Urambo na hata Kaliua. Kwa Tabora nzima miundo mbinu nu mibovu sana nadhani afadhali ya Kigoma. Barabara toka Tabora hadi urambo ni km 70 na ushee lakini tulisafiri masaa matano hii barabara ndo inaelekea kwa spika mstaafu SS na huyu ndo kajenga ofisi ya bunge urambo badala ya barabara.
Nilivutiwa na ofisi ya spika na mji ulivyo, umeme umekatika mwezi umeisha haujarudi kisa transforma eti iliungua. nawaonea huruma wana urambo na tabora kwa ujumla
 
Nimesikia sauti ya KIONGOZI, mtu anaejua jamii husika inataka nini na anajua namna ya kuwapa....
Ufisadi ndio kukwama kwetu kama ilivyopata kunenwa kuwa adui nambari moja wa maendeleo ya taifa baada ya uhuru ni UFISADI.
Hii ni agenda ya kudumu.....
Kweli kabisa kuna watu wanadhani nchi nzima ipo kama Dar, Arusha na Mwanza kumbe hata hayo maeneo yenyewe ukienda ndani zaidi hali mbaya kuliko unavyoweza kufikiria sasa ndio itakuwa huko kaliua..... hii nchi yote bado sana tofauti na hao wanajf wanaotaka kujidanganya kwa kuangalia mazingira yao binafsi,
Endeleeni kuwamulikia Watanganyika hao Taa mchana!
 
Safi sana wawakomboe na wangu wa Sikonge asanteni Chadema kwa kufika kwangu nadhani mliridhika na maandalizi niliyoyafanya. Keep up the mapinduzi halisi
 
Nawashukuru sana Chadema kwa kuliona hilo. Kimbulu heshima kwako mkuu. Nami nimewahi kukaa Kaliua, Urambo nk. Ni maskini wa kutupa na Baraka na baba yake ndo miungu ya huko. Wanachukua wake za watu waume zao wakija juu mh. anampachika jamaa mwenye mke cheo chochote ktk ofisi yake na mwingine aliwahi hata kupewa udiwani mh alizuia wengine kugombea akidai ni nafasi ya huyo anayemlia mkewe. Hadi leo jamaa anapokuja bungeni mara nyingi anajibebea mke huyo ama vitoto vingine toka kaliua. Pia ana hotel sikumbuki jina humo ndimo anashinda na kukesha akiwashughulikia watoto wa watu awzazi wakireact kesi zao polisi huzimwa.
 

sasa kwetu bongo haya mambo yanazimwa, na akitaka tu kugombea urais ndio utasikia yanachomolewa, kwa nini lakini tuna ukoloni ndani ya nchi yetu?
 
Kwa kweli hali ya Urambo inasikitisha sana,nilifika pale mwaka 2009 kwa mara ya kwanza sikuamini kama niko Tanzania kwa umaskini ulioko pale,maeneo ya ussinge,km 60 hali ni mbaya by that time Kapuya alikuwa waziri lakini alichowasaidia wakazi wa kaliua hata hakionekani
 
Uchafu wa Baraka Kapuya
1. Alishawahi kumpiga makofi na mateke mzee mmoja ambaye baadaye alipoteza maisha. Kisa mzee huyo alichelewa kutoka barabarani pale
alipopigiwa honi na Baraka.
2. Alishawahi kuongoza mauaji ya manafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Ushokola kwa kisa cha kugombea mwanamke katika ukumbi
wa millenium unaomilikiwa na Kapuya.
3. Alishawahi kumpiga makofi Mh diwani mbele ya kituo cha polisi huku mkuu wa kituo akishuhudia.

Cha kusikitisha, hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi yake; mpaka leo yupo tu anakula starehe akiwa kama meneja wa vitegauchumi vya babayake ukiwemo ukumbi wa millenium.

Baba yake, Juma Kapuya hana alifanyalo hapa Kaliua zaidi ya kutembea na wake za watu na kujirusha kwenye kumbi za starehe kama alivyowahi kunaswa na chombo kimoja cha habari..................






 
anachowasaidia bi hiki hapa kura si wanapiga wenyewe bana
 

 
Kushiba mali ya kifisadi ni laana inayoharibu hata uwezo wa kawaida wa mtu kufikiri. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukerwa eti kwa sababu watu wanautaja na kuwashutumu mafisadi mara nyingi. Wakati wa ubaguzi kusini mwa Africa, ubaguzi wa rangi ulipigiwa kelele na kila mpenda haki kwa miaka kibao hadi ulipotokomezwa. Mafisadi ktk Tanganyika watapigiwa kelele hadi wakome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…