Huduma hizo hapo juu zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Pia ukihitaji kufundishwa ili ufanye mwenyewe njoo kwa mtaalam wa CAD, over 5 years of experience. Napatikana Tabata. Kwa mawasiliano nicheki PM upate contact zangu. Pia natoa ushauri wa project design bure kabisa.
Karibuni