Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
tatizo lao wanakulazimisha kununua tv hata kama haukuwa na shida nayo
Hao mobisol wako wapi na bei zao zikoje
Source ya solar power kutoka ktk jua haiwezi kubet na Tanesco ambayo power yao ni continuously Kuna maeneo hakuna jua la kutosha Cha kusema tu ni kuwa tanesco wawe chojo hawatapoteza customers ila watu wata prefer mifumo miwili ya umeme solar na tanesco kufanya uhakika wa umemeMobi soli wako vizurriiiiii sanaaa wakiendelea ivviii watakuwa na upizani na tanesco
Mobisol wanapatikana mikoa ya kaskazini na kinda ya ziwa wanauza solar package za ukubwa tofautitofauti kuanzia watt 80 mpk watt 200
pia wanakopesha solar waweza kusikia mpk miaka mitatu pia wanatoa warrant ya vifaa vyao