Solar system,bei nafuu,ubora wa hali ya kuu

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
QQ??20130220165338.jpgQQ??20130220165422.jpgSEL01-Big.jpgSEL01-Small.jpgSEL02.jpgSL-02W.jpg
View attachment solar system 1.jpgsolar system 2.jpgView attachment solar system 3.jpg

karibuni sana IHAMSOLAR ipo kwa ajili yenu,bei zetu ni nafuu na tunazingatia ubora zaidi
kwa mawasiliano
1.engmtoleraibrahim@yahoo.com
2.director@ihamsolar.com
website yetu IHAM Solar Suppliers
 
sioni uliposema ofisi yako ilipo hata kwenye wbsite yenu ni bora mkaweka physical adress watu tukatembelea
 
Siku izi nimekuwa muga kununua vifaa vya kielectronic kwa kuhofia feki items
I always go for a Brand that I ONCE used maana kama 30% ya bidhaa sokoni ni feki akili kumkichwa
 
Kinachowaumiza watanzania ni kupenda vitu vya bei ya chini,kwa upande wetu ni kwamba system na vifaa vyetu vya solar bei yake inaendana na ubora,ukitaka bei ya chini ndio unaumizwa
nakupa mfano mmoja
watanzania wengi majumbani mwao wanatumia battery za gari kuhifadhi charge kwanini wanafanya hivyo eti ni beo rahisi,lakini ukimuuzia Lead acid gery battery ambayo ndio suitable kwa kuhifadhi umeme anaogopa bei,mwisho wake ni kila miezi 6 anabadilisha battery,wakati angenunua lead acid battery angekaa nayo kwa miaka kadhaa na bado anapewa warranty ya mwaka mzima.
Tuache kununua vitu vya bei rahisi.
 
If you go for the Brand suala la kununua vitu vya bei rahisi halipo Mfano Vifaa vya umeme I always go for Tronic,fridge westpoint,Radio Kenwood,TV Sumsung na vyote ivyo huwa nadeal na authorised dealers kama wapo.Nilikuwa nataka kukufafanulia maana ya neno Brand lilivyotumika na implcation zake.
Ni kweli ni tabia ya watanzania wengi kununua vitu cheap ambavyo huja wacost mbaya zaidi vingi feki huwa najiuliza why should there be fake stuff in the market kwa 30% wahusika wanafanya nini?
 
Then watu wanalalamika,huku wakidhamini kununua vitu ama bidhaa za bei ya chini.
 
Ina boa sana kwa mtu kutoa kauli za jumla jumla eti " WATANZANIA KINACHOWAUMIZA" it is unfair, unjustifiable, nonsensical and unethical mtu moja kati ya mamilioni ya Wabongo ametoa wazo lake kwenye JF halafu anajitokeza mtu mmoja kusema kwa ujumla "WATANZANIA". Hii si dalili ya weledi katika uandishi au namna ya kufikiri. Katika mazingira ya yoyote yale iwe ya kibiashara au kisiasa fikra za mtu huwa ni personal na siyo collective kama anavyotaka kutuambia jamaa hapo juu" eti kinachotuponza wa Tanzania ni kutaka vitu vya bei rahisi" Naomba mdau afute kauli yake mbovu!!
 
Cheap things are expensive over a long run
Unanunua fridge feki after mwaka unaambiwa badili mtungi na matengenezo mengine
Unanunua bati feki na za bei nafuu after 5 years unaezua kwa kuwa zinavuja baada ya kupata kutu
Mwenzio alijinyima akanunua bati genuine kwa tofauti ya tshs 5000 tuu zinadunda maka 40 years
Unajengea nondo feki ambazo zimetengenezwa baada ya kuyeyusha scrapers hatimae ghorofa ladondoka
 
If you go for the Brand suala la kununua vitu vya bei rahisi halipo Mfano Vifaa vya umeme I always go for Tronic,fridge westpoint,Radio Kenwood,TV Sumsung na vyote ivyo huwa nadeal na authorised dealers kama wapo.Nilikuwa nataka kukufafanulia maana ya neno Brand lilivyotumika na implcation zake.
Ni kweli ni tabia ya watanzania wengi kununua vitu cheap ambavyo huja wacost mbaya zaidi vingi feki huwa najiuliza why should there be fake stuff in the market kwa 30% wahusika wanafanya nini?

Mkuu "sumsung" ndio nini??
 
Ina boa sana kwa mtu kutoa kauli za jumla jumla eti " WATANZANIA KINACHOWAUMIZA" it is unfair, unjustifiable, nonsensical and unethical mtu moja kati ya mamilioni ya Wabongo ametoa wazo lake kwenye JF halafu anajitokeza mtu mmoja kusema kwa ujumla "WATANZANIA". Hii si dalili ya weledi katika uandishi au namna ya kufikiri. Katika mazingira ya yoyote yale iwe ya kibiashara au kisiasa fikra za mtu huwa ni personal na siyo collective kama anavyotaka kutuambia jamaa hapo juu" eti kinachotuponza wa Tanzania ni kutaka vitu vya bei rahisi" Naomba mdau afute kauli yake mbovu!!
Kweli inabore. hiyo Ni fallacy of generalisation. Tuwe makini na namna tunavyofanya conclusion yaan mmoja akikosea basis inakuwa wote.
 
Back
Top Bottom