Kwanza jiulize:
- Je, una ufahamu wa masuala hayo ya umeme-jua? Aina fulani ya utaalamu ni muhimu
- Je, una mpango mkakati (strategic plan) wa nini unataka kufanya?
- Umefanya utafiti kuhusu soko (market survey)? Hapa utasaidika katika kuamua unatarajia kuhusika na wateja wa aina gani (wakubwa, wa kati au wadogo) na pricing mechanism.
Kwa enzi hizi za utandawazi upatikanaji wa mali sio tatizo kubwa, inategema na namna gani wewe umejipanga kwani tofauti kati ya wazalishaji zipo katika ubora, bei n.k.
Senti zangu hamsini!