Solar panel za kisasa zinauzwa

Solar panel za kisasa zinauzwa

Joined
Dec 9, 2014
Posts
65
Reaction score
15
NINAZO MBILI KILA MOJA INA 50W, KWA HIYO ZOTE MBILI NI 100W bei 165,000/= nililetewa toka UK unaweza weka chini maana zina stand yake au juu ya bati achana na panel za kichina njoo uchukue hizi, sababu ya kuuza nmepata nyingine kubwa ya 300W. zote bado mpya. serious buyer anicheki 0624078252 au 0764726071 nipo DAR ES SALAAM. naomba mwenye kuhitaji atumie namba hzo kuwasiliana nami au kupata maelezo maana stakuwa online.
 
zote mbili jumla yake ni 165,000?
 
Mi nauza zangu 100w × 3= 300w. Mono solar panel kwa laki 450000. Used. With sukam inverter 14kv kwa laki 500000. Jumla laki 900000. Ukitaka battery 200h kwa laki 4. Nimetumia kwa miezi 3 tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom