SNL SOLAR LTD JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 205 Reaction score 26 Apr 18, 2017 #1 SNL SOLAR inakupatia Solar ya kukuwashia taa tano hadi nane pamoja na kuchaji cm pia unaweza kutumia Radio ndogo. Tuna Solar ndogo na Kubwa kwa gharama nafuu zaidi na Technolojia yetu ni ya kisasa. Tupo Sinza kwa Remy. Wasiliana nasi kwa 0714373488/0762246488/0784232526
SNL SOLAR inakupatia Solar ya kukuwashia taa tano hadi nane pamoja na kuchaji cm pia unaweza kutumia Radio ndogo. Tuna Solar ndogo na Kubwa kwa gharama nafuu zaidi na Technolojia yetu ni ya kisasa. Tupo Sinza kwa Remy. Wasiliana nasi kwa 0714373488/0762246488/0784232526
BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Apr 18, 2017 #2 gharama ya solar ya kusha taa tatu za ndani na kuchaji cm inaendaje
MAKANJAMNA JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,138 Reaction score 1,515 Apr 18, 2017 #3 Vipi kuhusu Efficiency ya hiyo panel??
E edgermkawo Member Joined Jul 27, 2011 Posts 9 Reaction score 3 Apr 19, 2017 #4 kwa sisi tulioko off grid tunaweza pata solarwaterpump ndogo
sumuni samson JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 249 Reaction score 61 Apr 19, 2017 #5 50 w or 100 w shiringi ngapi?