Soko la Ukwaju

Soko la Ukwaju

Geezzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
849
Reaction score
269
Habari za humu wadau?.., ninakusanya ukwaju usiopungua tani moja na nusu, kwa aliye tayari kununua anaweza kunifuata inbox kwa maongezi zaidi. Karibuni!
 
Kwa mwenye interest nitafute kwa hizi namba (0718008044,0785517232,0762375869) tuzungumze.
 
Mie nina shida unachukua muda gan kuharibika coz nip mbal
 
Mie nina shida unachukua muda gan kuharibika coz nip mbal
Ukwaju unaweza kukaa zaidi ya miezi 6 kama ukihifadhiwa katika hali ya ukavu.. Uko wapi kwani?
 
Ukwaju unaweza kukaa zaidi ya miezi 6 kama ukihifadhiwa katika hali ya ukavu.. Uko wapi kwani?
Mie sip huko ila kun mtu ngoj niongee nae ili anichukulie akikubal
 
Kwanini usiuongezee thamani huo ukwaju mkuu?!
Nimefikiria kufanya hilo msimu ujao ndugu yangu.., kwa sasa sijajipanga kisawa sawa! Inaonekana unaifaham vizuri value chain ya ukwaju, tujuzane mkuu!!
 
Back
Top Bottom