nyakim Member Joined Jan 27, 2015 Posts 68 Reaction score 26 May 24, 2017 #1 Wakuu habari. Ninahitaji msaada kidogo nasikia kuna viwanda vinanunua tangawizi ghafi. Kwa dar kiwanda hicho kiko sehemu gani? Na vipi bei zake zikoje? Na mzgo wanahitaji uliosagwa au ambao bado? Kwa aliyetayari naomba tuwasiliane 0766570614
Wakuu habari. Ninahitaji msaada kidogo nasikia kuna viwanda vinanunua tangawizi ghafi. Kwa dar kiwanda hicho kiko sehemu gani? Na vipi bei zake zikoje? Na mzgo wanahitaji uliosagwa au ambao bado? Kwa aliyetayari naomba tuwasiliane 0766570614
M makoba1 Member Joined May 15, 2014 Posts 19 Reaction score 10 May 24, 2017 #2 Habari nyakim, mim niko Dar na natafuta pia soko la Tangawizi sidhani kama kuna hicho kiwanda
M makoba1 Member Joined May 15, 2014 Posts 19 Reaction score 10 May 24, 2017 #3 Nyakim contact me 0717903508/0759566209. Kuna soko la Sudan kama utatimiza vigezo
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 May 24, 2017 #4 Same, kuna kiwanda cha Tangawizi