abudist JF-Expert Member Joined Oct 25, 2009 Posts 856 Reaction score 787 Sep 7, 2025 #1 Wakuu habari, Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa. Mihogo yake ni mizuri sana.
Wakuu habari, Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa. Mihogo yake ni mizuri sana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,793 Reaction score 193,745 Sep 9, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw