Soko la mayai ya kuku kienyeji

Soko la mayai ya kuku kienyeji

daudycharles

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
50
Reaction score
16
Habari zenu,

Natafuta soko la kuuza mayai kienyeji, mimi ni mfugaji mdogo, kwa sasa kuku wangu wanataga mayai 8-9 kwa siku, bei yai moja ni Tsh 400.

Kwa aliyeko karibu nami naweza kumletea.

Nipo changanyikeni karibu na na chuo cha UDSM.

Simu 0652199902
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom