nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 96 Sep 10, 2016 #1 Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks
jiwekuu770 JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 2,246 Reaction score 1,646 Sep 11, 2016 #2 nyigo Jn. said: Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks Click to expand... Mahindi yap mabichi ya kuchomwa au makavu kwa ajili ya kusaga unga
nyigo Jn. said: Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks Click to expand... Mahindi yap mabichi ya kuchomwa au makavu kwa ajili ya kusaga unga
nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 96 Sep 13, 2016 Thread starter #3 makavu mkuu kwaajili ya kusaga
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,840 Sep 15, 2016 #4 nyigo Jn. said: makavu mkuu kwaajili ya kusaga Click to expand... Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje?
nyigo Jn. said: makavu mkuu kwaajili ya kusaga Click to expand... Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje?
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,295 Reaction score 49,347 Sep 15, 2016 #5 MUNAWAR MKUBWA said: Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje? Click to expand... Mkuu unatengeneza chakula cha mifugo kwa matumizi ya mifugo yako tu au unauza pia?
MUNAWAR MKUBWA said: Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje? Click to expand... Mkuu unatengeneza chakula cha mifugo kwa matumizi ya mifugo yako tu au unauza pia?
nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 96 Sep 15, 2016 Thread starter #6 MUNAWAR MKUBWA said: Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje? Click to expand... Nichek kwa 0659902426 mkuu
MUNAWAR MKUBWA said: Niuzie mimi kwaajili ya kutengenezea chakula cha mifugo. Bei yako ipoje? Click to expand... Nichek kwa 0659902426 mkuu
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Jun 4, 2018 #7 Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,318 Reaction score 2,489 Jun 4, 2018 #8 nyigo Jn. said: Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks Click to expand...
nyigo Jn. said: Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks Click to expand...
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Jun 4, 2018 #9 Nahitaji tani 30 za mahindi kwa ajiri ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni, Dar es Salaam
Nahitaji tani 30 za mahindi kwa ajiri ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni, Dar es Salaam
V VIWANJA DOM Member Joined May 9, 2018 Posts 66 Reaction score 51 Jun 5, 2018 #10 akohi said: Nahitaji tani 30 za mahindi kwa ajiri ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni, Dar es Salaam Click to expand... ofa yako kwa kilo?
akohi said: Nahitaji tani 30 za mahindi kwa ajiri ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni, Dar es Salaam Click to expand... ofa yako kwa kilo?
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,851 Reaction score 24,365 Jun 6, 2018 #11 Unanunua mahindi sh ngapi kwa kilo