Juma Said Kisimbo Member Joined May 8, 2015 Posts 9 Reaction score 4 Jul 13, 2019 #1 Habari za leo Wana jamii, mimi nimeanza kulima maembe ya kisasa huko mkoa wa Tanga njia ya Pangani sehemu ya Marungu, sasa nilitaka kujua kama kuna mteja kwa mikoa ya karibu na sehemu husika maana sasa yameanza kuzaa japo hayajachanganya yote
Habari za leo Wana jamii, mimi nimeanza kulima maembe ya kisasa huko mkoa wa Tanga njia ya Pangani sehemu ya Marungu, sasa nilitaka kujua kama kuna mteja kwa mikoa ya karibu na sehemu husika maana sasa yameanza kuzaa japo hayajachanganya yote