jangala22 Senior Member Joined May 20, 2021 Posts 165 Reaction score 141 Aug 10, 2023 #1 Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani
Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani
jangala22 Senior Member Joined May 20, 2021 Posts 165 Reaction score 141 Aug 11, 2023 Thread starter #2 jangala22 said: Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani Click to expand... Jamani wanajukwaa mwenye kujua soko anijuze tafadhali Kwa mkoa wa mwanza
jangala22 said: Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani Click to expand... Jamani wanajukwaa mwenye kujua soko anijuze tafadhali Kwa mkoa wa mwanza
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,879 Reaction score 2,860 Aug 12, 2023 #3 Pita kwenye mahotel, wakaanga chipsi, restaurant, na wanaopika chakula Cha masherehe, catering, uliza kote utapata soko.
Pita kwenye mahotel, wakaanga chipsi, restaurant, na wanaopika chakula Cha masherehe, catering, uliza kote utapata soko.
batmanwafez JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 882 Reaction score 1,363 Aug 13, 2023 #4 jangala22 said: Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani Click to expand... Bei gani?
jangala22 said: Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza shukrani Click to expand... Bei gani?
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,915 Reaction score 6,609 Aug 13, 2023 #5 Mkuu weka bei na uzito na mawasiliano
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,007 Aug 13, 2023 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...