Soko la kuku wa nyama Mwanza

Soko la kuku wa nyama Mwanza

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Habari wanajukwaa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection tafadhali. Mimi napatikana Usagara Nina broilers 358 Bado week Moja wawe tayari sokoni kwaajil kuuzwa
 
Habari wanajukwaa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection tafadhali. Mimi napatikana Usagara Nina broilers 358 Bado week Moja wawe tayari sokoni kwaajil kuuzwa
Nenda kwenye masoko makubwa ongea na wauza Kuku wanaochukuwa kwa jumla, wao wanakuja wenyewe kwako na gari yao ila bei yao sasa ndio muelewane.

Sijui kwa huko Mwanza lakini kwa Dar wengi ni wezi hesabu ya Kuku 100 ukilemaa unapigwa hata 130, kuwa makini kwenye kuhesabu kabla hawajawapakia kwenye gari utalia.
 
Back
Top Bottom