Professional Trader JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 1,220 Reaction score 1,122 Oct 9, 2016 #1 Waungwana kama kichwa cha habari kilivyo jieleza apo juu nilikua natafuta soko la dagaa Nyasa la jumla kwa apa dar na kama kuna mtu atakua anawaitaji kwa wingi ani PM tuongee vizuri ili tufanye business
Waungwana kama kichwa cha habari kilivyo jieleza apo juu nilikua natafuta soko la dagaa Nyasa la jumla kwa apa dar na kama kuna mtu atakua anawaitaji kwa wingi ani PM tuongee vizuri ili tufanye business
makua JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 208 Reaction score 40 Oct 11, 2016 #2 Mkuu Hevi dagaa wa nyasa ni tofauti na wale wa mwanza?