M maladoi Senior Member Joined Jun 20, 2016 Posts 117 Reaction score 87 Feb 24, 2017 #1 Hii ni kwa mashabuki wa Yanga tu. Tunawaomba mjiandae kisaikolojia kwani kesho watani wenu wa msimbazi watawachinjilia mbali kwa bao nyingi tu, huenda zikazidi zile mnazozikumbuka. Sababu zipo wazi.
Hii ni kwa mashabuki wa Yanga tu. Tunawaomba mjiandae kisaikolojia kwani kesho watani wenu wa msimbazi watawachinjilia mbali kwa bao nyingi tu, huenda zikazidi zile mnazozikumbuka. Sababu zipo wazi.