makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu