Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Mar 25, 2014 #1 Mpira ni uwekezaji, mpira ni pesa ila simba hawataki kuamini hivyo. Attachments 1395721076160.jpg 62.1 KB · Views: 177
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Mar 25, 2014 #2 mbona umesema ni HATARI?
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Mar 25, 2014 Thread starter #3 Amavubi said: mbona umesema ni HATARI? Click to expand... Tazama hiyo picha vizuri utaona.
M matenene JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 477 Reaction score 158 Mar 26, 2014 #4 Wale wapo ofisini na michoro ya wachina ya ujenzi wa uwanja kwenye mkondo wa bahari. Wakielimishwa eti mzee Akilisiutajiri anahamasisha maandamano. Hafadhali wale waliopo msituni wana kitu tangible siyo cha kufikirika.
Wale wapo ofisini na michoro ya wachina ya ujenzi wa uwanja kwenye mkondo wa bahari. Wakielimishwa eti mzee Akilisiutajiri anahamasisha maandamano. Hafadhali wale waliopo msituni wana kitu tangible siyo cha kufikirika.