wadau naombeni mtupe jamvini link au set up za software za kutengeneza logo na nembo mbalimbali......ninayo the logo creator v5 but cijapendezwa nayo...naombeni software nyingine wadau..
kama unataka ya kubandika na kubadua na ikaja kufika siku TWO company wana logo sawa--Go with AAA logo. but kama unataka ya kwako pekeyako go with Adobe photoshop or flash (wonder full software for drawing logos,cartoons and other pros)