software ya kuflash nokia 6303c

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni.
 
*#7370# ingiza hiyo.


hii ni code ya ku restore factor! Pamoja na internal memory!

Lakini ni lazima uingize password !
Lakini ni tofauti na ku flush !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…