S spleeingiant Senior Member Joined Oct 24, 2016 Posts 138 Reaction score 45 Mar 17, 2018 #1 Habari ya saa hizi wanajamii, naomba msaada software ninayoweza kuflash huawei model hiyo maana kwa hard reset inagoma na ukiwasha ina leta notification nyingi za kustop software karibia zote na ni unstall whatsapp au facebook inazima na kujiwasha.
Habari ya saa hizi wanajamii, naomba msaada software ninayoweza kuflash huawei model hiyo maana kwa hard reset inagoma na ukiwasha ina leta notification nyingi za kustop software karibia zote na ni unstall whatsapp au facebook inazima na kujiwasha.