Software ipi imetumika?

Ngodaz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
120
Reaction score
113
Daah kwa yoyote anae tumia smartphone naomba anijuze jina la software inayo tumika kupigia pic kurasa zako ndani ya cm yako!
 

Attachments

  • 1395868762267.jpg
    46.5 KB · Views: 230
unatumia simu gani?? Kama ni Huawei au Techno nenda kwenye kurasa unayotaka kuipga pcha halafu bonyeza Off botton na botton ya kupunguzia volume zote kwa pamoja.

Hata kwa simu nyingine unaweza kufanya hivyo ila sina uzoefu sana.

Kama kuna shortcut nyingine wajuzi watakupa more info.
 
Almost Simu zote za Android au Smartphones zinafanya kazi sawa.

steps.
1. bonyeza (hold) kitufe cha kupunguza sauti na kitufe cha kuzimia simu kwa pamoja.

2. Utaona ujumbe ufuatao."saving screenshot".

3.Fungua kwenye galley au sehemu ya kuhifadhia PICHA utaikuta hiyo picha.
 
JF ni chuo kikuu kiganjani
 
Daah kwa yoyote anae tumia smartphone naomba anijuze jina la software inayo tumika kupigia pic kurasa zako ndani ya cm yako!

ila hujatwambia aina ya simu unayotumia
 

Attachments

  • 1395903682049.jpg
    42.1 KB · Views: 108

Huwezi kufanya screenshot bila ku-root simu so kama unataka kufanya hiyo kitu make sure kwanza cm yako ipo rooted then fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu.
 

soma uzi uelewe sio unakulupuka. ulishawai fanya mtihani ni lazima ulipata o !!!! elewa swali.(gani....software. ..ipi)
 
hivi humu wengi awaelewi swali someni uzi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ