sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Hizo software unatumia box au ni cracks
Hizo software unatumia box au ni cracks
Vipi kuhusu file finder kama Ava find, Everything?Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k
Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.
Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k
IDM kwajili ya kudownload vitu.
Picasso kwajili ya kuangalia picha.
Vlc kwajili ya kuchekia videos.
Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.
WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.
Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya
Photoshop kwajili ya kueditia picha
Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha
Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,
Kwangu sio shida maana karibu kila kitu nachokiingiza nakipanga kwa mpangilio kwenye folders husika, hata nyimbo nazipanga kwa miaka, genre, wasanii, nchi, n.k ngumu sana kupoteaVipi kuhusu file finder kama Ava find, Everything?
Hii unalipia?Daah office 2007?unapitwa na mengi mno...sasa hivi tunatumia microsoft 365,
Hauna haja ya kutype we unaongea tuu (dictate) computer yenyewe inacharaza tuu. Upgrade ifike 2019
Hii unalipia...sio ya bure.Daah office 2007?unapitwa na mengi mno...sasa hivi tunatumia microsoft 365,
Hauna haja ya kutype we unaongea tuu (dictate) computer yenyewe inacharaza tuu. Upgrade ifike 2019
Mm napendaga kutumia software zilizokuja na PC. VLC tu ndio naongeza. Ila kwa vingine kma software ipo tayari kwenye windows 10 siongezi nyingine. Microsoft Edge, Photos App, Movies app, File explorer, winRAR, Android studio, Intelij IDEA, VScodeNaanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k
Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.
Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k
IDM kwajili ya kudownload vitu.
Picasso kwajili ya kuangalia picha.
Vlc kwajili ya kuchekia videos.
Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.
WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.
Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya
Photoshop kwajili ya kueditia picha
Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha
Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,
Asante sana nimekukubali hapo kwenye Android studio na VSCode💪Mm napendaga kutumia software zilizokuja na PC. VLC tu ndio naongeza. Ila kwa vingine kma software ipo tayari kwenye windows 10 siongezi nyingine. Microsoft Edge, Photos App, Movies app, File explorer, winRAR, Android studio, Intelij IDEA, VScode
Mimi nnatumia kwenye windows 10, ndio ni ya kulipiaHii unalipia?
Inatumika kwenye window ngapi?
Ina cost Mb ngap kuidownload?
Hiyo Phoenix imekaaje je nitofauti na Knox na blue stack katika ubora....?Kwangu media player ni moja tuu, nayo ni
VLC (movies, music, etc)
Adobe illustrator kwa kazi zangu, na Ps, Id, Lr na Pr.
Script writing ni Final Draft
Word processing ni MS Office yoyote tuu (2007 au 2016),
Browser yangu kuu ni Chrome
na kwa jinsi natumia sana simu kufanya mambo zangu, natumia browser mbili, chrome (kwa ajili ya infos, na browsing informations,etc) na phoenix (hii naipenda kwa kuwa inanipa mambo yote nisiyoweza kuyafanya kwenye chrome. Mf.downloads, torrenting, whatsapp statuses, etc.)
Kwa jinsi natumia windows 10, sina haja ya Ava find wala ndugu zake; sina haja ya uTorrent wala ndugu zake, n.k.
Kwanini bloggers wa Tanzania mn roho mbayaaaaa saana ?Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k