Software gani nitumie ku-unlock modem yoyote?

Software gani nitumie ku-unlock modem yoyote?

Katika pc nipakue software gani itakayoniwezesha ku-UNLOCK MODERM ya aina yeyote mfano Zantel
Am not sure,,,may be Dc unlocker bt itabidi ulipie,,,mana ile cracked version inawez ku-unlock modem kadhaa,,
 
dc ina unlock moderm nyingi ila sio zote jaribu ila za huwawei huwa zinaleta shida kidogo
 
Hamna software ya kuunlock modem zote. kila aina ya modem ina software yake husika kwaajili ya kuunlock
 
Kiukwel modem unlocker nyingi huwa zinahitaji ulipie ili kupata unlock code..
So unaweza kutumia Nokia suite kama unahitaji kutumia laini yako kwenye modem yoyote.
[a href="http://shelbytheseeker.blog.com"] TEMBELEA HAPA KWA MAELEZO ZAIDI [/a]
 
Ahsanteni kwa maoni yenu,,,, dc unlocker nimeipakua lkn pale napobofya ili idetect ktk sehemu husika pa ku unlock lkn no detection msaada
 
Back
Top Bottom