pixlr express na pic arts
Habari za kazi wa JF
Naomba niulize.. et ni software gan ipo vizur katika upande wa ku edit picha ukaitoa Adobe photoshop
naomben msaada wenu wadau
Adobe naona hko very complicated
Wakuu namii nadandia sred kwa nyuma,
mii nahitaji ya mobile, natumia nokia S40 ina support java