K kipira Senior Member Aug 5, 2009 142 56 Jun 4, 2011 #1 Wakuu naomba link nzuri ya kudownload music. Nawasilisha.
P Paul S.S JF-Expert Member Aug 27, 2009 6,402 3,242 Jun 4, 2011 #2 Kitongoli said: Wakuu naomba link nzuri ya kudownload music. Nawasilisha. Click to expand... Inategemea unataka nyimbo gani. Kama unapenda nyimbo za mbele latest nenda torrent sites utapata za kumwaga. Binafsi nikitaka wimpo flani nau google kisha nacheck kama kuna site inatoa free
Kitongoli said: Wakuu naomba link nzuri ya kudownload music. Nawasilisha. Click to expand... Inategemea unataka nyimbo gani. Kama unapenda nyimbo za mbele latest nenda torrent sites utapata za kumwaga. Binafsi nikitaka wimpo flani nau google kisha nacheck kama kuna site inatoa free