Hatua ya kwanza ni kuweka Profile photo professional. Avatars zisizo kichwa wala miguu hutufukuza wengi.
Software Engineering ni Sanaa na ni Sayansi. Ni sanaa kwa maana ubunifu wako katika kubumba suluhisho toka kwenye tatizo. Na ni Sayansi kwa kuwa kuna misingi ya kusimamia katika kufanya ubunifu huo.
Ulivyouliza swali inaonesha kabisa bado unaanza. Jifunze kutatua matatizo madogo, then utakuza uwezo wako taratibu
Anza na hii kwanza:
About - Project Euler