Hakuna chuo kinachotoa MSc.SE hapa bongo isipokuwa UDOM ndiyo wanatoa BSc.SE...kama una BSc. Katika carrier ya IT na unachotaka siyo sifa ya kuwa jamaa huyu ana degree mbili mi ninakushauri Piga certifications,then kama unaweza ku-display "hallo world" kwenye java bac unaweza kupiga msuli mwenyewe na ukawa fit Pre-requist hapa ni mda na moyo wa kujifunza tu...but kama vp we nenda UDSM kapige MSc.CS lakini sidhani kama hiyo ORACLE na JAVA utaikuta.....masomo mema!