apologize JF-Expert Member Joined Jul 22, 2015 Posts 709 Reaction score 571 Apr 29, 2017 #1 Habari wakuu, nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
Habari wakuu, nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Apr 29, 2017 #2 Word processor huwezi kuunda majedwali na kutengeneza graph mbalimbali?