Mkuu navipata vipi?Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na hivyo kuongeza ufahamu na ufanisi wa kusoma. Pia, mimi hutafsiri vitabu kwa lugha yoyote, kuhakikisha kwamba kila msomi anapata kile kinachozungumziwa katika lugha anayoielewa. Tafsiri hii inafanya elimu na burudani kufikiwa na watu wengi zaidi, bila vikwazo vya lugha.
Vyote mkuu ikiwezekana nipe link and thanks in advanceUnataka kipi?
Poa mkuu nitumie pmLink hakuna nimetranslate mwenyewe
Una copy right ya kuandika vitabu vya wengine kwa kiswahili? Kama huna basi jitayarishe kufungwa miaka mingi kwani unafanya ujambazi wa kimataifa. Nakuhakikishia kama huna ruhusa basi utavuna unachopanda. Wenzako wanafanya research na kutumia muda wao kuandika vitabu wewe unakuja kupora na kujipatia fedha? Siku zako zinahesabika, kama huna ruhusa.Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na hivyo kuongeza ufahamu na ufanisi wa kusoma. Pia, mimi hutafsiri vitabu kwa lugha yoyote, kuhakikisha kwamba kila msomi anapata kile kinachozungumziwa katika lugha anayoielewa. Tafsiri hii inafanya elimu na burudani kufikiwa na watu wengi zaidi, bila vikwazo vya lugha.
Tunapataje access ya kuvisoma?Link hakuna nimetranslate mwenyewe
Wivu Wivu na uvivu wa kushindwa kufanya nenda India wanachukua vitabu hivyo hivyo wanapiga cop kama kilivyo Wanasambaza mamilion ya kopi na kuwa tajiri.. Cjui ww wa wapi una Wivu hivyoUna copy right ya kuandika vitabu vya wengine kwa kiswahili? Kama huna basi jitayarishe kufungwa miaka mingi kwani unafanya ujambazi wa kimataifa. Nakuhakikishia kama huna ruhusa basi utavuna unachopanda. Wenzako wanafanya research na kutumia muda wao kuandika vitabu wewe unakuja kupora na kujipatia fedha? Siku zako zinahesabika, kama huna ruhusa.
Siyo wivu. Mimi nampa tahadhari pengine hajui ni nini kinaweza kutokea. Na mbaya zaidi anatumia internet kutangaza mali za wizi.Wivu Wivu na uvivu wa kushindwa kufanya nenda India wanachukua vitabu hivyo hivyo wanapiga cop kama kilivyo Wanasambaza mamilion ya kopi na kuwa tajiri.. Cjui ww wa wapi una Wivu hivyo
Unajua wanacho Fanya wahindi juu ya hivyo vitabu au unaongea tu kwaajili Wivu, badala kumpongeza kaumiza akili na muda wake kunja vunja maarifa yaliyo kwa lugha geni kusaidia watu wasio jua lugha ya kigeni unaleta matisho.. Ww una Wivu jua hilo.Siyo wivu. Mimi nampa tahadhari pengine hajui ni nini kinaweza kutokea. Na mbaya zaidi anatumia internet kutangaza mali za wizi.