Sofa zinauzwa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,816
Nauza Classic sofa ambazo ni two seater 1 na single seater 2, ni mpya kabisa hazina hata mwezi.

Bei Tsh 1,000,000

Ziko Makongo juu DSM.
 
Pole mkuu yaani hata kukalia mwezi hujaisha tayari umeshaichoka sofa yako? Imetengenezwa wapi? Au ni zile za Orcadeco?
Namba zinasomeka haswa hadi za Kirumi!
Ahsante mkuu, inabid tuhame mjini tuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shemelah wako ana watoto wengi hawatatosha kukaa kwenye viti vitatu.
Labda kama utanitafutia mchepuko nimnunulie chap!
michepuko iko shazi boss,,we nipe specification tuu nkupe unamba chaap [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nina 500k cash ikikupendeza njoo pm fasta
 
Ukiweza kuzisafirisha mpaka Chato nakupatia hiyo hela.
sawa boss, karibu sana japo uwezo wangu wa kusafirisha unaishia hapahapa dsm, ila km unazitaka kweli namna haiwez kosekana boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…