90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 437
- 534
Njoo makumbusho uchukue sofaset kali na meza yake kama unavoziona kwenye picha, kwa 600k tu instead of 1.25M.
Contact: 0697224996
Contact: 0697224996
ni pesa nzuri yes, but haiweziKama itakupendeza naomba nilipie 400000.vyote!!
Asante.
KAZI ni kipimo cha UTU
Kama bado vipo!! Mwisho bei gani?ni pesa nzuri yes, but haiwezi
ni fixed price mkuu, bado vipo katika ubora wake (like new) , havijatumika sana, vimenunuliwa kwa 1.25M, hivo hiyo ni fair price kabisa mkuu, karibuKama bado vipo!! Mwisho bei gani?