Soda sumu tupu jamani tujihadhari

Hata kamoja tu kwa mwezi, kuchangamsha kinywa dokta
 
Hazijafikia huko lakini maana soda zilianza kunyweka miaka mingi na vifo vinavyotokana na sumu hiyo kwa viumbe hai haijawa reported.
 
Ndioo ni sumu docta ilaaa tamu lol wengi wanakufa na kisukari,it is unreported world i wish kungekua na muamko juu ya hili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…