Anataka mgeni asipewe chochotekwahiyo unataka mgeni apewe nini akifika?
mgeni kafika jua kali au jioni kachoka unataka apewe nini kutuliza koo?
Sisi kwetu tumefundishwa kumkirimu mgeni kwa chochote ulichonachoAnataka mgeni asipewe chochote
Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda?
ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?
😂 😂 😂 😂 😂Huku kwetu tunampa hivii View attachment 1214506
Ndio hivyo...!!Sisi kwetu tumefundishwa kumkirimu mgeni kwa chochote ulichonacho
Na wakati mtoto anatumwa soda huku nyumbani mama anamletea mgeni albamu kwaajili ya kuangalia picha!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lkn hata huyo mgeni ukimuuliza anakunywa nini lazima aseme soda tu,water selection ya maji huwaga hakuna hiyo button,mzungu katufanya nini na hivi vinywaji vitamu vitamu?
I won't break the Jf laws other wise stop acting like that
Tulioyarithi kama si mabaya tuyaendeleze.Uswahilini hakuna soda hunywewa siku maalumu kama sikukuu.Waswahili hawatumiagi via,wazungu huwakirimu wageni kwa pombe za kwenye friji.Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda?
ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?