duh! Sikujua hili.si huwa wanasema hutumia sukari aina nyingine?Je unajua? kila chupa ya kawaida ya Soda kama Coca cola na Pepsi cola ina vijiko 14 vya sukari. Au kwa kipimo kingine usawa wa sukari iliyomo ndani ya kila chupa ya soda ni theluthi moja ya glasi ya kawaida!!
Kwahiyo ndugu zangu nawanasih msifanye kinywaji cha soda kuwa ni kiburudisho. Pia mchunge watoto wasinywe soda kwa wingi kwani husababisha uharibifu mkubwa wa meno.
mi najiuliza hivi kweli,kweli kabisa? SODA CAN POISONING? namshukuru sana mwalimu wangu wa UPE, dah!
Hiyo ni lugha ya wenzetu kinachotakiwa ni sisi kuelewa tu. Wewe unaweza ukawa unajua sana English, lakini French ukawa hujui hata ya kuombea maji, kwa hiyo kujua lugha flani usiwadharau wengine wakikosea, warekebishe kwa upendo, wakati mwingine utamfanya mtu aogope kuongea au kuandika hata hicho kidogo anachojua.