C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 Sep 15, 2024 #1 Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
kilio Member Joined Jan 24, 2014 Posts 68 Reaction score 83 Sep 15, 2024 #2 Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema
Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 Sep 15, 2024 Thread starter #3 kilio said: Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema Click to expand... Kujitambua kwa namba ipi mkuu
kilio said: Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema Click to expand... Kujitambua kwa namba ipi mkuu
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 2,003 Reaction score 3,702 Sep 16, 2024 #4 Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science ina uwanja mpana kabisa kwanza ni Science pili haina watu wengi Kama Social work na sasa hivi mambo ya mazingira ni moja ya agenda kubwa duniani.
Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science ina uwanja mpana kabisa kwanza ni Science pili haina watu wengi Kama Social work na sasa hivi mambo ya mazingira ni moja ya agenda kubwa duniani.