Social Forums za Africa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Nina Uhakika kabisa Jamiiforums ndo forum bora kuliko zote Afrika Mashariki na Africa kwa Ujumla.

Ila Ningependa kujua kuhusu nchi Nyingine za Africa, Je wanazo forums km Jf?

Kwa mwenye kuzijua Forums zote zilizo kwenye nchi za Africa basi atuwekee hapa tupate kuzijua.

Mwamba.
 
Nairaland Forum nchini Nigeria
 
Nairaland nahisi hii ndo inayoongoza kwa africa
 
Acha uongo! Kwa tafiti zipi ulizofanya ndio ukaja na haya matokeo au umejiongelea tu? Jf ina takribani members waliojisaliji laki nne hivi tena hapo kuna mtu ana id's zaidi ya moja mpaka 15!!!! Out of 45 million? How can you say its a best forum in africa?? Tanzania tu still kuna watu hawaijui jamiiforums ndo mdudu gani ukiwauliza!
 
naFikiri hujamwelewa mleta uzi
 
Moderators futeni account yangu, nimewatumia pm
lakini mpo kipya bila kutekeleza.
Nimeangaika namna ya kuifuta bila mafanikio, nimeenda
settings, help hakuna maelezo yeyote.
Kila nikipandisha mada inashushwa siwezi kuwa mnafiki
eti where we dare to speak openly!.
Futeni kabisa hii account, udikteta kila kona undava
undava tu hapa.

Samahani mtoa mada nimekuvamia sababu sina jinsi.
 
Ndugu huku ukiingia hakuna kutoka! It's like a secret society/service;once you're one you'll always be one! Welcome to the brotherhood[emoji88] [emoji89] [emoji83] [emoji49]
 


Uhakika unao ila hujui forums nyingine Africa ,je umefikaje kwenye huo uhakika?JF ni Bora,je umeilinganisha na forums ambazo wewe mwenyewe huzijui

Mimi naona tafuta neno lingine hapo maana maandiko yako yanajicontradict
 
Ndugu huku ukiingia hakuna kutoka! It's like a secret society/service;once you're one you'll always be one! Welcome to the brotherhood[emoji88] [emoji89] [emoji83] [emoji49]
Haipo kwenye policy zao, Cheze ni brand..
Ntawapigia kelele hadi wanitoe. Mi ni mtu huru na nina haki kutoka au kubaki humu.
Lasi hivyo nitahack hii JF hadi washangae.
Ngoja wanichezee..
Minitoe humu nyie moderators tafadhali.
 
Ni mtazamo wangu huo boss,, we unaonaje kwn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…