Sober House

Joined
May 31, 2016
Posts
6
Reaction score
1
Wakuu,
Nataka kujua hapa Tanzania kuna sober house ? na kama zipo ni za serikali ama binafsi na gharama zake zikoje ?
 
Ninavyo fikiri mimi Sober house iko kwa ajili ya kumsaidia Muathirika wa Madawa ya kulevya, hivyo gharama ni free charge (Bure)...!!
 
Wewe unaishi wapi?


Hadi kufikia June 2018, Sober house zilikuwa 22 Tanzania mzima, ni kweli huduma zinazotolewa ni bure ila baadhi ya sober House unachangia gharama za chakula, maji, umeme nk

*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…