So sick wanajamii nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

So sick wanajamii nisaidieni

Discussion in 'JF Doctor' started by Nivea, Jun 19, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Jamani wanajamvi habari zenyu,madactari naomba ushauri au nitumie dawa gani kwa hili linalonisibu.
  Nimetokewa na rushes ila zile kama za allergenic ukikuna inavimba na vinawasha sana ,nisaidieni jamani either dawa ila sikumbuki nini nimekula kikanidhuru,na haijawahi nitokea kabisa .
  Nitashukuru kwa ushauri mzuri na waharaka.
  Thanks
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  nenda hospitali ukaangaliwe nini tatizo.
   
Loading...